Posts

UTAFANYA VITU GANI ILI KUFANIKISHA BIASHARA YAKO NA MAISHA KIUJUMLA

    Vitu vifuatavyo vinakusaidia kuanzisha shughuli yoyote au kukuongezea kipato katika maisha yako na kuonekana wa thamani ; 1. Fanya kile kilicho ndani ya uwezo wako kutatua matatizo yako na kujiletea maendeleo,tafuta msaada pale juhudi zako zinapoishia. 2. Tambua vipaji na ujuzi ulionao na uweze kuvitumia ili zikuletee maendeleo. 3. Tumia fursa zilizopo karibu nawe kuanza na kujiendeleza. 4. Jiweke karibu na watu wenye mtizamo chanya,malengo na bidii . 5. Jenga uaminifu - timiza ahadi. 6. Usikate tamaa, na uhakikishe unapata kile ulichokusudia. 7. Jiwekee malengo,yaandike na uyatekeleze. 8. Heshimu mda wako, utumie mda vizuri kwa kufanya mambo ya muhimu.            KUNA BAADHI YA TABIA ZA KUACHA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA            JAMBO ULILOLIPANGA , AMBAZO NI ; {a}: Usidharau ulivyonavyo hata kama ni vidogo,kwani hakuna kit...